Thursday, May 11, 2006

Unakaribishwa kijiweni II

Waungwana,
Ili kutimiza nia ya kuruhusu watu kuweza kutundika "stories" hapa "Kijiweni", Inabidi nikualike rasmi.
Tafadhali jisikie huru kuweka comment yenye anwani yako ya email ili nikutumie ukaribisho.
Ndesanjo & Mwaipopo, nashukuru sana kwa kunitembelea.. karibuni sana wazee
Ned

2 comments:

Egidio Ndabagoye said...

Tushakaribia kijiweni.Leta ghahawa na kashata tuhle!

John Mwaipopo said...

Mie nataka kashata za machicha ya nazi.