Wednesday, July 04, 2012

Tz up on FIFA rankings

Zile rankings za FIFA za kila mwezi zimetoka na katika ranking ya timu ya wanaume, Tanzania imepanda kwa nafasi 12 na sasa ni ya 127 duniani. Immediately juu yetu ni Rwanda na Kenya ambazo zimefungana katika nafasi ya 125 na immediately below us ni Gambia ktk nafasi ya 128. Katika zone ya Afrika (CAF), Tanzania imekuwa ranked katika nafasi ya 39 kati ya nchi 53 zilizokuwa ranked kwa ubora Africa. Kwa upande wa wanawake Twiga stars imepanda kwa nafasi tano (5) Hadi kufikia nafasi ya 120 kwa ubora duniani. Katika zone ya Africa (CAF) Twiga stars wapo nafasi ya 19 kati ya nchi 36 zilizokuwa ranked Kwa ubora ktk Africa Cheers.