Wednesday, July 04, 2012
Tz up on FIFA rankings
Zile rankings za FIFA za kila mwezi zimetoka na katika ranking ya timu ya
wanaume, Tanzania imepanda kwa nafasi 12 na sasa ni ya 127 duniani. Immediately
juu yetu ni Rwanda na Kenya ambazo zimefungana katika nafasi ya 125 na
immediately below us ni Gambia ktk nafasi ya 128.
Katika zone ya Afrika (CAF), Tanzania imekuwa ranked katika nafasi ya 39 kati ya nchi 53
zilizokuwa ranked kwa ubora Africa.
Kwa upande wa wanawake Twiga stars imepanda kwa nafasi tano (5) Hadi kufikia
nafasi ya 120 kwa ubora duniani. Katika zone ya Africa (CAF) Twiga stars wapo
nafasi ya 19 kati ya nchi 36 zilizokuwa ranked Kwa ubora ktk Africa
Cheers.
Subscribe to:
Posts (Atom)